Fomu ya kugombea ubunge CCM ni shilingi ngapi?

Fomu ya kugombea ubunge CCM ni shilingi ngapi?

Shakari

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2022
Posts
211
Reaction score
629
CHAMA Cha MAPINDUZI kimetangaza kuanza mchakato wa uchukuaji fomu za Ubunge lakini kwenye tangazo hilo sijaona fomu ya Ubunge ni shilingi ngapi? au mimi sikulisoma vizuri hilo tangazo.
 
Kwakuwa Chadema hawapo, safari hii fomu itakuwa bure mana ni gombania goli
 
Back
Top Bottom