Foleni za Jumatatu

wapalepale

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
259
Reaction score
58
heshima kwenu wa JF, Jamani nisaidieni kuhusu hili:
hivi kwa nini mara nyingi siku ya jumatatu inakuwa na foleni sana kuliko siku nyingine yoyote ya kazi? maana hata wenzangu nikikutana nao kazini wimbo ni huo huo, utasikia leo foleni ilikuwa balaaaaaaa. kulikoni hembu tuchangie mawazo

thanx
 

foleni wapi sasa mkuu?
 
sawa...shinyanga, new york au wapi?

daaaaaaah nimekuelewa ndugu yangu, haikuwa wazi..!(asante kwa maswali yanapelekea marekebisho muhimu) ni foleni hapa dar es salaam. sasa upo tayari kuchangia??!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…