Muda huu ni saa 5:00 usiku lakini ubungo kuna foleni kali, nini shida hadi adha hii imerejea tena? Hawa trafiki hapa wanatafuta nini mbona mzunguko ulikuwa umeondoa hii foleni??
barabara ya kutokea mwenge yaan sam nujoma mita chache kutoka kweny round about kuna semi trailer lime haribika apo ndo chanzo cha foleni na upande wa pili yake ni ivo ivo