Foleni ya Tabata Buguruni inachosha jamani

Foleni ya Tabata Buguruni inachosha jamani

mcheshi

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
837
Reaction score
330
Foleni ya Tabata Buguruni Inachosha. Just imagine tuko kwenye foleni toka Tabata reli kwenda Buguruni mataa zaidi ya saa moja na nusu. Huo muda wote watu wengeshafika maofisini au kwenye shughuli zao.

Na hii foleni sio mara ya kwanza. Ombi kwa wanaousika waruhusu basi daladala zinazotoka Tabata kuja mnazi mmoja zipitie njia Sukita kutokea Rozana kama njia ya kupunguza foleni na kuwahisha abiria kazini.
 
BORA HAO TRAFIKI WA TAZARA WAONDOKE MAANA NDO WANASABABISHA FOLENI TUKIONGOZWA NA TAA HUWA HAKUNA FOLENI KABISA
 
Yaan saiz bado nipo ofisin natak kutoka. Kila nikiwaza Tabata -TAZARA nataman kuhama G/mboto. Lakin hivi kweli hawaoni mateso yetu? au mpaka tuandamane? Magari toka tabat kwenda TAZARA yanawekwa foleni kusudi. Basi wangekuwa wanaachia angala baada ya Dk 10 lakini saa nzima si bure. Mtukufu Rais hebu tuhurumie wakazi wa G/moto na mbagala kwa kuangalia hawa trafffik
. Foleni ya TAZARA toka tabata lazinma kuna kitu.........
 
Watu wanahisi uhusiano wa traffik na bodaboda. Maana kukiwa na foleni boda wanasambaa njia nzima toka tazara mpak tabat wakitafuta abiria. Rais tuokoe jamani twafa.
 
Vumilieni angalau miaka miwili flyover itakuwa imekamilika.
 
Yaan saiz bado nipo ofisin natak kutoka. Kila nikiwaza Tabata -Tazara nataman kuhama g/mboto. Lakin hivi kweli hawaoni mateso yetu? au mpaka tuandamane? Magari toka tabat kwenda Tazara yanawekwa foleni kusudi. Basi wangekuwa wanaachia angala baada ya Dk 10 lakini saa nzima si bure. Mtukufu Rais hebu tuhurumie wakazi wa G/moto na mbagala kwa kuangalia hawa trafffik
. Foleni ya tazara toka tabata lazinma kuna kitu.........
Km una private car pita njia ya tabata kinyerez/segerea utokezee ukonga siiiimple...km unatumia daladala panda basi mpk segerea thn upange la ukonga ..mzunguko mrefu utaona labda na nauli kn its better kuliko kupita TAZARA kunachosha kila place traffic light....
 
Siku zote naamini trafic ndio husababisha foleni solution ni kwamba trafic yeye asimame pembeni aache taa ziongoze fuleni huisha fasta mno then zile taa wazitege ziwake dakika nne kila upande haki ya mungu hutasikia foleni kwenye hili jiji
 
Ila nilisikia kwa jamaa kuwa trafic wameambiwa wa create foleni ili magari yaishiwe mafuta na wenye vituo vya mafuta wapate kupiga hela
 
Yaan saiz bado nipo ofisin natak kutoka. Kila nikiwaza Tabata -Tazara nataman kuhama g/mboto. Lakin hivi kweli hawaoni mateso yetu? au mpaka tuandamane? Magari toka tabat kwenda Tazara yanawekwa foleni kusudi. Basi wangekuwa wanaachia angala baada ya Dk 10 lakini saa nzima si bure. Mtukufu Rais hebu tuhurumie wakazi wa G/moto na mbagala kwa kuangalia hawa trafffik
. Foleni ya tazara toka tabata lazinma kuna kitu.........
Mh!hapo dar utathubutu kuandmana kweli wewe!?au unatishia tu
 
Zamani kutoka buguruni kwenda tabata kulikua na foleni sana, lakini polisi wa kituo tabata angalau walisaidia waliporuhusu service road kutoka matumbi kwenda tabata itumiwe pia na dalada, foleni ikapungua sana.
Sasa polisi wa bugurini nahisi ndio wanaohusika kwani nini hawaruhusu njia ya sukita - buguruni rozana itumike?
Foleni ingepungua sana maana daladala zote zinazokuja mnazi mmoja zingetumia njia hiyo kuwahisha abiria kazini.
Daladala zisingelazimika kupitia buguruni mataa kwenye foleni.
Magari yanatumia mafuta mengi kwa ajili ya foleni, abiria nao ili wawahi kazini wanalimika kushuka na kupanda bodaboda ili wawahi kazini, inaumiza sana kimapato napia mda mwingi kukaa kwenye foleni ambayo ingeweza kuepukika.
Tunawaomba wahusika jamani watutatulie haza hii.
 
Back
Top Bottom