Park Gari Hapo Mtongani chukua boda umuwahi mtoto majimatitu. Vinginevyo majirani watajibebeaWakuu huku mbagala mateso sasa.
Muda huu saa 4 kasoro lakini kuna foleni kubwa nimekwama tu hapa kwa aziz Ally sijui nafika kwangu saa ngapi.
Kuna binti nimempigia ananiambia tangu saa 11 amefika kwake majimatitu nusu saa iliyopita.
Mbagala tumeumbwa mateso mateso kuhangaika...!
Pole sana jirani! nakumbuka ilipojengwa double road, tulikuwa tunateleza tu! watu kuona usafiri ni murua, wakahamia Mbagala, Mbande, chanika na sehemu kama hizo. KUKAJAA! Ni mateso labda tuombe mwendokasi ufanikiwe (by the way ujenzi mwendokasi imefikawapi?)majimatitu nusu saa iliyopita.
Leo foleni ilifika Hadi Chamazi kutokea mbagala rangi3 kutokana na msafara wa raisiPole sana jirani! nakumbuka ilipojengwa double road, tulikuwa tunateleza tu! watu kuona usafiri ni murua, wakahamia Mbagala, Mbande, chanika na sehemu kama hizo. KUKAJAA! Ni mateso labda tuombe mwendokasi ufanikiwe (by the way ujenzi mwendokasi imefikawapi?)
Nisalimie wa Majimatitu!
Wakuu huku mbagala mateso sasa.
Muda huu saa 4 kasoro lakini kuna foleni kubwa nimekwama tu hapa kwa aziz Ally sijui nafika kwangu saa ngapi.
Kuna binti nimempigia ananiambia tangu saa 11 amefika kwake majimatitu nusu saa iliyopita.
Mbagala tumeumbwa mateso mateso kuhangaika...!
Kama vikunai anaweza tokea hata sabasaba kwa mpili..Sasa hivi kutoka kijichi/mbagala to kigamboni dk chache tu.Mkuu njia rahisi kama una gari binafsi au hata daladala una pita ferry then ukivuka una enda hadi chekechea Baada ya hapo vikunai una ibukia mission. Kwa daladala Chekechea una tokea Zakhem
Wakuu huku mbagala mateso sasa.
Muda huu saa 4 kasoro lakini kuna foleni kubwa nimekwama tu hapa kwa aziz Ally sijui nafika kwangu saa ngapi.
Kuna binti nimempigia ananiambia tangu saa 11 amefika kwake majimatitu nusu saa iliyopita.
Mbagala tumeumbwa mateso mateso kuhangaika...!
Mbali sana.....kuna barabara inajengwa ya kupita Kwa Mpalange chap unatokea Chamazi.Mkuu njia rahisi kama una gari binafsi au hata daladala una pita ferry then ukivuka una enda hadi chekechea Baada ya hapo vikunai una ibukia mission. Kwa daladala Chekechea una tokea Zakhem
Wakuu huku mbagala mateso sasa.
Muda huu saa 4 kasoro lakini kuna foleni kubwa nimekwama tu hapa kwa aziz Ally sijui nafika kwangu saa ngapi.
Kuna binti nimempigia ananiambia tangu saa 11 amefika kwake majimatitu nusu saa iliyopita.
Mbagala tumeumbwa mateso mateso kuhangaika...!
Nimetoka kazini mapema. Majira ya saa 9 hivi nikapitia Mbagala, njiani naona polisi wengi nikahisi kitu. Nikakaa sana Maji Matitu, nimetoka saa 12 jioni bonge la foleni tokea juu kule kwa Mbiku. Loh....leo yalikua mateso. Uzuri nazijua border zote nikateleza fastaaaMsafara wa Raisi umesababisha yote hayo..saa tano ndiyo naona magari yameanza kutembea..inakera