Hahahha Ceebees, Mr. Maker, Number Jacks lol (nagombanaje sasa na kijana wangu!?) Ye akitaka Mr. Maker mie nataka number Jacks na kaTv kenyewe kamoja basi tabu tupu mwe!! Akiona namghasi ananitolea laptop yangu......Mamii,..... fanya kajhi (kazi) lol. Hadi aibu!
We
Kongosho wewe!!