Wabongo sie wavivu sana unatoka Mabibo tu hapo kwenda UDSM unapanda gari wakati foleni ni kubwa hivyo? Hizo 55 mnt alizotumia kwenye foleni si bora angetembea tu? it only takes 25mns tokea Hostel hadi UDSM
ni kweli diatance ni fupi sana only 4km lakin wkt wa kwenda inabid kupanda gar usifike darasan mchovu ila kurud ni kama kawaida yetu, tunatembea a.k.a SHATO PORI
habari wadau, tangu jana hawa jamaa wa mrad wa mabasi yaendayo kasi wamefunga upande mmoja wa barabara ambao ndio unatengenezwa hivyo kusababisha folen kua kubwa sana hapa ubungo, nimetumia dakika 55 (6:10-7:05) kutoka mabibo hostel hadi udsm,