Foleni ya Ikulu

Foleni ya Ikulu

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,685
foleni-ccm.jpg
 
mbona yupo mwanamke mmoja tu au watabaki wilayani tuuu
 
Hahahahaaaaa, ile jamaa ya nyuma kabisa mwisho ndo nani vile maana sura hata haieleweki sijui kwa sababu ya foreni??
 
Edo mbona kawekwa nyuma sana , halafu huyu mama ndio nan vile
 
Uchu hatari wa madaraka! Mtoa rushwa mkubwa enl alitakiwa awe mbele ya kigwangala.Huyo mwenye
mawazo mazito sana na kuweka kidole shavuni ni nani tena?
 
Uchu hatari wa madaraka! Mtoa rushwa mkubwa enl alitakiwa awe mbele ya kigwangala.Huyo mwenye
mawazo mazito sana na kuweka kidole shavuni ni nani tena?

mzee wa mega wat....ngeleja
 
Back
Top Bottom