Foleni Nacte

aviJR

Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
77
Reaction score
6
Aisee kwa foleni iliyopo hapo NACTE .inadhihirisha wazi watu wengi hawazielewi PROFILE ZAO
 
ni kweli profile zina maelezo ya ajabu, wengine hazifunguki
 
Kuna grp la whatsp kwa watu wa NACTE kwa ajili ya updates? Naomba hufaham
 
Cc tuliandikiwa select wakat chuo hakijacofm inakuaje jaman

MKUU kuna ndugu yangu alifatiria suala hilo na kuambiwa kwamba majina yashatumwa VYUONI since tarehe 12 ..kwahiyo kazi ipo vyuoni kukupokea au kuwa rejected ..
source ni ndugu yangu aliyekuwa NACTE leo
 
Sasa nacte cwangeniombea chuo kingne mpaka kichwa kinauma aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…