Kuna foleni ndefu sana hapa Makongo mpaka bondeni pale sijui inatokana na nini,kwa sababu imefika mahali trafik wameruhusu magari yanayotoka Tegeta kupita barabara tatu, wale waliopita hapo muda huuwatakuwa wameshuhudia.