Foleni Makongo

Foleni Makongo

mayonise

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
259
Reaction score
50
Kuna foleni ndefu sana hapa Makongo mpaka bondeni pale sijui inatokana na nini,kwa sababu imefika mahali trafik wameruhusu magari yanayotoka Tegeta kupita barabara tatu, wale waliopita hapo muda huuwatakuwa wameshuhudia.
 
Junction ya kawe raia wema wamefunga njia....labda waje PT ndio kitaeleweka
sababu menzao aligongwa hapao, wamekwenda mchowari kuchukua maiti wamedaiwa laki 2 unusu,

source clouds fm
 
Back
Top Bottom