mmmh,mimi mama angu ameenda huko,ila network hakuna kwani najaribu sana kumpigia simu,simpati.ila sifikirii kama kutakuwa na foleni ya helikopta.kwani wenye uwezo wa helikopta ni wachache.ila nasikia masharti ya dawa lazima upange foleni,sasa ukienda na helikopta nahisi unakuwa wa mbele zaidi.bila foleni,dawa haifanyi kazi