Mookiesbad98 JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 3,574 Reaction score 4,856 Jun 3, 2025 #1 Kutokana na lori la mafuta lililoanguka Kunduchi limezua foleni kubwa siku nzima ya leo Tunaomba wahusika walitoe tupumue Maana wameanza kunyonya mafuta
Kutokana na lori la mafuta lililoanguka Kunduchi limezua foleni kubwa siku nzima ya leo Tunaomba wahusika walitoe tupumue Maana wameanza kunyonya mafuta
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,962 Reaction score 1,252,223 Jun 3, 2025 #2 Poleni
Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,912 Reaction score 21,969 Jun 3, 2025 #3 Tatizo huko ni 'Kundu-chi'