Foleni kubwa Kitonga baada ya Lori kufunga njia

Foleni kubwa Kitonga baada ya Lori kufunga njia

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,505
20170709_113702.jpg
20170709_113841.jpg
20170709_113641.jpg
Ajali imetokea Kitonga Lori la miti/milingoti limeanguka na kuziba bbarabara. Juhudi za kulitoa zinaendelea. Nitaweka picha soon
 
Nimepita hapo nusu saa ilopita lori limeanguka kweli lkn walishafungua njia na hamna foleni
 
Asante kwa taarifa!
Huo ndio muda muafaka kwako kuchukua contacts za watoto wazuri wanaoranda randa hapo! 😀😀😀
 
Back
Top Bottom