Foleni chanzo cha ''michepuko" dar-es-salaam

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Nilikua nasikiliza Radio jioni yaleo ,nikasikia wakisema ,migogoro mingi ya ndoa jiji dar-es-salaam ni kutokana na msongamano wa magari.
Mtu anatoka kazini saa 4:00pm anafika nyumbani saa 11:00pm.
Anasingizia jam ,kumbe alikua anachepuka.

Hii ni kweli. ( wakazi wa dar)

Mimi najua inasababisha ulevi, nilikua Dar kipindi fulani , ilinilazima kupitia mahali kusubiri Jam ipungue , najikuta natupia moja mbili ..! .
 
Ghaaa..., we vipi.., kwanini usi-download applet ya kupunguza folen.., mi nnayo sa hivi foleni hakuna kabisaa!!
 

mtu michepuko ni wa michepuko tu,kungekuwa hamna foleni angetafuta sababu ingine.....michepuko ilikuwepo kabla ya foleni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…