Sasa uhisi ili iweje hayo ni matumizi mabaya ya akili kikubwa tusubiri solution kama itawekwa tutajua alichoshauri ila mambo ya kuhisi hapana tuna mengi ya kufikiria...ila mwisho wa siku foleni kuisha ni ngumu sana labda kama solution yake itapunguza less than 5%ya foleni