D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,733 Reaction score 5,251 Feb 21, 2016 #21 Ebwana ndio. Mimi nina uwezo wa kwenda popote pale na sihitaji hata kiroboto kinilinde tatizo nini? Pesa au! Maana kama ni umaarafu Bar za mtaani hakuna Barmaid manager au wanywaji wasionijua.
Ebwana ndio. Mimi nina uwezo wa kwenda popote pale na sihitaji hata kiroboto kinilinde tatizo nini? Pesa au! Maana kama ni umaarafu Bar za mtaani hakuna Barmaid manager au wanywaji wasionijua.