tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
njoo na ushahidi la sivyo na wewe maneno yako yatakua ya vijiweni tuHana pesa ya kumfikia Michael Jordan
wala hamfikii Tiger Woods...
hiko kijarida cha vichochoroni
Duuu hizi njemba zikikudaka lazima mavii yakutokeView attachment 324553
Jarida moja uko marekani limethibitisha na kuandika kuwa mpaka sasa mwana mchezo tajiri duniani ni bondia floyd my weather hii imejumuishwa kila aina ya michezo na wasanii hapa duniani , pia imethibitisha kuwa ndie mwanamichezo pekee mwenye ulinzi mkali sana na hatari kuliko wanamichezo na wasanii wote duniani, kama anavyoonekana pichani iko kijamaa cha katikati,
njoo na ushahidi la sivyo na wewe maneno yako yatakua ya vijiweni tu
we unafikiri moja ya hizo njemba akawa ndo mchepuko wa mke mi ntaongeaDuuu hizi njemba zikikudaka lazima mavii yakutoke
Hahahaha umenifurahisha aiseeNaskia Kiba ndo anafuatia
ata mm nachofaham mwanamichezo alie kwenye list ya mabilionea ni Michael jordan pekeenjoo na ushahidi la sivyo na wewe maneno yako yatakua ya vijiweni tu