hahahahaaaa warumi wewe hukualikwa kutoa mistari yako katika kumaliza kesi ya hawa watumishi wa bwana, mwenzio wakorintho kaplay a big party, according to shigogo
Na mtoto wangu je,aliskika gwajima anahoji kwenye kikao ahahahaash,so ametumikaa weeeee hadi akapata na kakid ndio anarudi kweli mapenzi,tunasubiri sasa diamond kurudiana na wema!;-)