tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,754
yani hadi mavazi yao ni comedy...baba mashati makubwa mama machupi makubwa bila shaka.watoto pampers oversize zitawahusu
Duuh hiyo nyumba z itakua hatari kyupi zitawekwa sebuleni full matangazo,yani kila cku baba n mama wanashindana kupiga maselfie