Flirting. . .

Nadhani kila mtu anajua namna "flirting" inavyoweza kurahisisha siku au hata maisha kwa ujumla. I'ts fun, relaxing, can turn a bad day into a good one and so so.

mi naona Flirting is harmless fun ili mradi isivuke mipaka. I flirt....aisee nimeshaepuka ticket ya traffic sanaaa ila sitoi namba nitamchekesha afande wee mpaka tunaagana, route zangu za kawaida tunapungiana mikono tu, kama niko na hubby namtania side nigga yule... basi tu kuchangamsha genge afu tunayamalizia chumbani.... maisha ni mafupi kuwa serious kila sekunde, kazi ngumu, hela ngumu, stress kibao, its just fun isivuke tu mipaka ila kuna wale uki flirt nao basi anawaza unamtaka doh!, nawashusha taratiiiibu afu nasepa fastaaa...siku inaenda tu.
 
Lizzy habari ya siku mingi.....
Well, once upon a time, tulikua JF na JF ilikua yetu....
Smile upo?
 
Baba chanja wangu umwambie side nigga!
Ntajikuta MOI
 
You are right Curvyminx flirting ni changamsha genge ila hatari inakuja pale wahusika wanapokolea to the point of wanting to move another step. Its TEMPTING aiseee, especially pale mtu anapokuwa extra extra flirtatious. Kwahiyo ni bora to avoid it all together.

Ila kwa mfano wako was barabarani, hiyo sio harmful kihiiiivyo maana in mtu ambae you don't have to deal with kila siku ama kila wakati. Embu imagine flirting with a co-worker, your neighbour or even your boss, hiyo situation inaweza kuvurugikaje in the long run??
 
Na wewe siku ukipata wako unawaomba wakuweke kwenye ignore list? Unachotakiwa ni kutoendekeza.

Yeahhh kabisa. . .
Na wengine wanavyoitanaga PM. . .hata kama hawaendi huwezi jua.
hahahahahahah mimi mbavu zangu jaman
wengine hawaishii pm tu bali kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hahahaha haya maisha tuyaache tu
 
Lizzy habari ya siku mingi.....
Well, once upon a time, tulikua JF na JF ilikua yetu....
Smile upo?
Fresh kabisa RR how is you?!Missed you much!

I know, right?! Those days were the days kwakweli. Nikipata muda ntakuwa naibuka ibuka kidogo so we can reminisce.
 
Fresh kabisa RR how is you?!Missed you much!

I know, right?! Those days were the days kwakweli. Nikipata muda ntakuwa naibuka ibuka kidogo so we can reminisce.
Superb.. Glad you are ok...
You just managed to get me from retirement.
 
Ku
Flirt ni ushamba kwa mtu ambaye yupo kwenye mahusiano, huwezi kuwa na mume au mke halafu unachati na watu wa jinsia tofauti kwa kuwaambia Yale ambayo kwa kawaida ni mali ya mumeo, na bado useme ni sahihi. HUO NI UASHERATI wa wazi kabisa.
Jamani hili linaitwa jukwaa la mapenzi lenye lengo la kujenga jamii but kwa kuzingatia michango ya wengi humu we are destroying the society tunaposhabikia kuwa ni sahihi kwa mtu kuflirt na mtu hawana mahusiano nae, TUACHE UBINAFSI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…