Habari za humu ndani wakuu,
Naomba kujuzwa kwa mtu anaetamani kusoma coz ya flight attendant ngazi ya certificate anatakiwa kuwa na ufaulu upi na wa masomo yapi? Pia chuo kipi ni best kwa kozi hii na ada yake ni sh ngapi
Mwenye uelewa naomba anijuze Tafadhali