Flat Tv zinauzwa

NAJIDAKIA STORE

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
261
Reaction score
126
IPO Samsung inchi 50 Laki Tisa na nusu tu
Lg nchi 42 Laki saba na nusu
IPO Mr UK nchi 24 Laki mbili na kumi IPO
chogo Laki moja na 30 nchi 21 IPO na chogo nchi 24
Sub woofer Laki moja ina Bluetooth

home theatre ya Sony watt 1000 spika tano Laki saba na nusu Mpya

vitu vipo vingi karibu mbezi beach 0762612213
 
Camera uliyotumia ni mbaya hadi Kero inafanya vitu visivutie kwa mteja azima hata simu mkuu ili kuvutia bidhaa zako.
Acha ujinga shida camera au kitu huna pesa kaa mbali wenzio wanakuja kununua ndugu
 
Acha ujinga shida camera au kitu huna pesa kaa mbali wenzio wanakuja kununua ndugu
punguza hasira mbona amekushaur vizuri tu kweli picha hazivutii kbs yan tafuta camera nzur upige bidhaa zako picha nzur za kuvutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…