Flat screen

Vodka

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
906
96
Mwalimu sanaa aliagiza wanafunzi wake watumie maboksi waunde tv. Basi wanafunzi wote wakajitahidi wakafanya ivo.Ila wakati wa kukagua mwanafunzi mmoja wanaopnda kumtania sharobalo haku angaika alikuwa na karatasi kuubwa mezani mwake,ikambidi mwalimu amuhoji;
mwalimu: wewe mbona hujafanya kama wenzio? Umekata karatasi la boksh tu,sasa tv niliyo agza utengeneze iko wapi?
Mwanafunzi: mwalimu mbona tiyari hii! Hii inaitwa plasma-flatscreen,..Meen!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom