FLAT SCREEN ZA STARTIMES

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Habari wakuu,kuna best yangu anataka kununua flat screen ya kampuni ya startimes.ushauri kwa mliowai kutumia hizi tv zina ubora??
 
Habari wakuu,kuna best yangu anataka kununua flat screen ya kampuni ya startimes.ushauri kwa mliowai kutumia hizi tv zina ubora??
Bajet yake imekaaje? Anataka inches ngapi?

Kama yupo serious Acheze kwenye LG Samsung sony au kama hayupo vizur sana basi kuna TLC.

Uzuri wa hizo brand kubwa tatu ni customers support itakuwepo kupitia service center zao hapa nchini kwetu..pia ni brand ambazo zipo serious kazini plus warranty za uhakika.
 
Mkuu. Mimi nimeelewa kuwa, anataka flat screen zinazouzwa na startimes, zile zenye kisumbusi chake ndani kwa ndani. Sio hizo za Samsung, Sony nk..
 
Hajasema anataka startimes zenye king'amuzi chake ndani...

Amesema mwenyew anataka kujua ubora wa flat za startimes...sasa mimi nimempa ushaur tu kama anataka flat basi aangalie hiz brand zinazoeleweka na zenye feedback nzur ...pengine mpaka apate feedback za hao wenye startimes wakat ni wachache atasubr sana kupata majibu ya uhakika..

So far hata nilizo zitaja hapo kuna zenye king'amuz ndan kwa ndan although sio cha startimes.
 
Inchi 24
 
Mkuu. Mimi nimeelewa kuwa, anataka flat screen zinazouzwa na startimes, zile zenye kisumbusi chake ndani kwa ndani. Sio hizo za Samsung, Sony nk..
Hata kama haina kisimbuzi sawa tu mkuu
 
Bajeti yake laki tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…