kuna vitu vingi vya kuangalia mkuu mfano resolutions, ukubwa wa screen, picture quality nk. kwa matumizi ya kawaida nunua kuanzia inch 43 kwenda juu na iwe brand nzuri kama lg, sony na Samsung. ukinunua tv yenye kioo kidogo kama inch 32 utawahi kuichukia na utatamani kununua nyingine