Flat screen tv 25' inauzwa

Flat screen tv 25' inauzwa

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
Habari ndugu..
Nauza SINGSUNG FLAT SCREEN TV, inch 25..
Bei 200000/=..
Ni sawa na mpya, nauza sababu ninahama mkoa..

IMG_20181222_170034.jpeg
IMG_20181222_170059.jpeg
IMG_20181222_170213.jpeg
 
Hipo mkoa gani???na lini unataraji kuhama mkoa uliopo???Maana kama mambo yatasoma kesho au tarehe 30/nikutafute mkuu
 
Vipi king'amuz au deck viko wapi??kitanda fridge je??? Weka vyote mkuu
Kimfaacho MTU chake.simu unayotumia ni aina gani???weka bei zake hapa kiongozi
 
Kuna jiko la gesi, na startimes ya antena..
Na sofa ya mtu mmoja..
 
Vipi king'amuz au deck viko wapi??kitanda fridge je??? Weka vyote mkuu
Kimfaacho MTU chake.simu unayotumia ni aina gani???weka bei zake hapa kiongozi
Azam kipo, anataka funga dstv
 
akikujibu ni tag
Vipi king'amuz au deck viko wapi??kitanda fridge je??? Weka vyote mkuu
Kimfaacho MTU chake.simu unayotumia ni aina gani???weka bei zake hapa kiongozi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom