Sasa mbona unauza bei za vitu vipya mkuu....mfano hilo godoro ni aina gani?? Maana dodoma ndio yanasifika ..jipya dukan ni laki mbili na 30 had 20...tv hujasema kingamuzi cha aina gani? Afu imetumika how long...kitanda cha kisasa kikoje?? Tangazo liko absolutely faint ...picha ihusike na maelezo ya kina