elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
mbili za inch 18 zinauzwa elf 80 kila moja na moja ya inch 20 inauzwa kwa laki moja
Upo wapi
Mkoa gani?
Love umekuwa dalali siku hizi??
hahaha nnasafisha office naweka mapya love
Haya bana all the best hauna tv flat???
hahaha hiyo nkiuza ntakosa kupata vituko vya bunge la katiba
Unanibania!!
Asante kijana...nimependa flat screen zako, najipanga ntakuja kununua nyingine
kuna mtu anataka monitor nimemuelekeza kwako; una product nzuri
teh teh teh! mbona kama ni mtu mmoja vile? teh tehAsante kijana...nimependa flat screen zako, najipanga ntakuja kununua nyingine
teh teh teh! mbona kama ni mtu mmoja vile? teh teh