Ohh God...Hii bei ni ghali sana...kwa mtanzania wa kawaida...kipato gani hicho cha kuweza kulipa kodi hiyo.Labda kama unalipiwa na company...
Au serikari kwani uku ndio tunakopeleka PAYE zetu kila mwezi...bila huruma.Harafu ni kodi ya mwaka inahitajika USD 700 kwa mwaka ni dola 8400,Kwa exchange rate ya 1158 Tsh..9727200 tsh unapata..
Hapo moja kwa moja unatoka katika tabaka la watanzania wa kawaida..unakuwa fisadi.
Am out