Jamani ndugu wa humu ndani mko poa,nahitaji msaada wa link(s) wa software wa kudownload simu manake na simu yangu hapa(nokia e7) ni ya kuflash mafundi wananizingua tu,nimejaribu download Advance Box Turbo ila imekataa kuinstal alternatively wale wa mwanza wanielekeze kwa mafundi wa uhakika wa software hapa jijini.asanteni.