Wakuu hii flash imegoma kusoma kwenye pc,ukiscan yale mafail yanaonekana yakiskanika na inaonekana kabisa kuwa yamejaa kwny flash ila ukiopen unakuta empty.
Fungua windows explore >>> Click View >>> Click Option >> Click View [Hapo kwenye folder options ] >>> Click show hiden files.
Ondoa Check Mark sehemu zote zilizoandikwa Hide.........[Angalia Picha ]
>>> Click apply >>> OK
Hapo file zote kwenye flash zitaonekana, Chakufanya tengeneza folder mpya [kwenye desktop mfano ]na copy kila file baada ya kufungua hiyo hidden folder za kwenye flash, na ku_paste katika folder jipya ulilotengeneza.
Kisha format hiyo flash ndipo urudishie files ambazo ungependa kuhifadhi katika flash
Nivyema ukaifanyia Scanning PC yako baada ya kurudisha faili zako ili tatizo lisijirudie.