tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,192 Reaction score 29,749 Feb 3, 2018 #1 Wakuu flash disk haitaki kudelete vitu vilivyomo wala ku-format nifanyeje?
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,626 Feb 3, 2018 #2 Nishawai kua na flash ya dizain hiyo, je hiyo yako ina kidude cha ku lock na ku-unlock kana Kipo ki unlock then ndo inakubali
Nishawai kua na flash ya dizain hiyo, je hiyo yako ina kidude cha ku lock na ku-unlock kana Kipo ki unlock then ndo inakubali
I Intora Member Joined Dec 30, 2013 Posts 6 Reaction score 3 Feb 4, 2018 #3 Mafikizolo said: Nishawai kua na flash ya dizain hiyo, je hiyo yako ina kidude cha ku lock na ku-unlock kana Kipo ki unlock then ndo inakubali Click to expand... kama haina hicho kidue , jarib kutumia program ya "hp flash tool"
Mafikizolo said: Nishawai kua na flash ya dizain hiyo, je hiyo yako ina kidude cha ku lock na ku-unlock kana Kipo ki unlock then ndo inakubali Click to expand... kama haina hicho kidue , jarib kutumia program ya "hp flash tool"