flash disc

flash disc

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,051
Flash za kuchomeka kwenye simu zenu huna haja ya kutembea na cable tena
8gb kwa 30000 tu

unaletewa ulipo 0714547830
 

Attachments

  • 1425747670204.jpg
    1425747670204.jpg
    19.5 KB · Views: 83
zina sehemu ya usb ya kawaida au ndo simu peke yake?
 
Daah hawa wachina hawatuachi tumue: mara kanda then cd mara flash mara memory card mara Power Bank . Tena flash za cm!!
Muda c mrefu watafyatua watoto.
 
Daah hawa wachina hawatuachi tumue: mara kanda then cd mara flash mara memory card mara Power Bank . Tena flash za cm!!
Muda c mrefu watafyatua watoto.

Wanaupeo mkubwa wa kukabiliana na changamoto, wanazigeuza kuwa fursa. Sisi tukipata changamoto tunaenda nje kutembeza bakuri, SHAME!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom