flash back mafanikio ya miss utalii Tanzania 2005-2012

flash back mafanikio ya miss utalii Tanzania 2005-2012

Gideerast

Member
Joined
Jun 27, 2015
Posts
56
Reaction score
3
1. February 2005- miss Utalii Tanzania 2005,waweka historia ya kuwa rebo wa kwanza kabla na baada ya uhuru kutwaa taji la dunia (Witness manwingi )
2. October 2005 - miss utalii Tanzania waweka historia nyingine ya kuwa rebo wa kwanza kutwaa taji la miss Africa 2006 ,katika fainali za iss Africa zilizo fanyika huko Addisi ababa Ethiopia (Witness manwingi)
3. December, 2006 miss Utalii Tanzania, waandika historia nyingine ,watwaa taji la Dunia ,katika ashindano ya Dunia yaliyofanyika China Taipei (Kili Janga)
4. march 2006- miss Utalii Tanzania ,wavunja rekodi nyingine,kwa kuwa kufanikiwa kwa ara ya kwanza afrika ashariki na kati , kuwa wenyeji wa Fainali za Dunia za miss Tourism World 2006 abayo yalishirikisha nchi 120,na kurushwa live kupitia TV Duniani kote.(Tanzania ubungo plaza).
5. miss Utalii Tanzania,walivunja tena rekodi kwa kutwaa taji la dunia katika ashindano yaliyofanyika Antary Uturuki (Lilian Cyprian).

ZINGATIA KUWA
mashindano ya miss utalii Tanzania yalianza nchini waka 2004
baada ya yale mengine ...... Tanzania yalianza mwaka 1994,na waewahi kuabulia taji moja tu la kiataifa.
Tuiombee miss utalii Tanzania katika ujio wake mpya,lakini pia tuwapeni chango wa maoni ili malengu akuu ya kutangaza utali wa ndani na nje kupitia urembo yaweze kutimia. NAWASILISHA, Karibuni
 

Attachments

  • 1K+(16).JPG
    1K+(16).JPG
    9.9 KB · Views: 40
  • 71519_168121263203275_6641947_n[1].jpg
    71519_168121263203275_6641947_n[1].jpg
    38.8 KB · Views: 46
  • 395576_370614019620664_1058802530_n[1].jpg
    395576_370614019620664_1058802530_n[1].jpg
    10.1 KB · Views: 38
  • 556014_632782253403838_329565122_n.jpg
    556014_632782253403838_329565122_n.jpg
    9.5 KB · Views: 37
Back
Top Bottom