Flash 32gb ya sumsung

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,858
Hbar za majukumu wabodi.

Ninamiliki flash tajwa hapo juu. Yapata wiki sasa kuna jamaa angu aliniomba ili aitumie. Baada ya matumizi alinirudishia, ikiwa hainakitu kama nilivyompatia.

Shida imeanza mara baada ya kuweka vitu vyangu ikaonesha virusi wameingia. Kaiformat, nikaweka upya tena lakini tatizo likajirudi, nimefanya hivyo mara 3 bado ishu ni ile ile.

Nakuja kwenu nielekezwe namna ya kufanya ili flash yangu iwe poa, ikiwa upo uwezekano huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…