Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
hii game ni kama collector's item. wazungu hawajuagi kudown nulled apps. sasa since jamaa alidiscontinue hii game ikiwa kwenye peak kila mtu akawa anataka kuicheza ila haipo sasa jamaa wauza simu wa ebay wakatake advantage kuuza simu yenye pre installed hii game ufaidi
So haina chochote special?
Hehe ase Salute, hio nipe mda ntarudi!! Ingine hii hapa.
Tempo run Brave!!