Lizo mkristu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 332
- 647
Je ni kweli kuna uwezekano MTU anaweza kutengeneza hii mikka na kuuzia watu au ni wizi tu,au kampuni za kubetisha hutumia hawa wauza fixed matches ili kuongeza kupotosha wanaibet?
Fikiria tu ile mechi ya juzi kati ya simba na Mlandege! Ulifikiria Mnyama angefungwa na kutolewa kwenye mashindano, huku akiwa ni bingwa mtetezi?Je ni kweli kuna uwezekano MTU anaweza kutengeneza hii mikka na kuuzia watu au ni wizi tu,au kampuni za kubetisha hutumia hawa wauza fixed matches ili kuongeza kupotosha wanaibet?