Five tips for a woman........

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,887
1. It's important that a man helps you around the house and has a job.......

2. It's important that a man makes you laugh......

3. It's important to find a man you can count on and doesn't lie to you........

4. It's important that a man loves you and spoils you.....

5. It's important that, these four men don't know each other......

Dr Preta......
 
6. Its important to also know that having Scientific calculator in an examination room doesn't make you pass maths exam ..........
 
Wewe hizo pointers umezitoa wapi? Nina uhakika hujaziandika wewe. Unabisha?
 
Dr. Preta?

Halafu mna-demand tu ninyi. Haki na wajibu muhimu
 
Yah ni desa sawa.........lakini ni kweli.....

Madhali tushajua chanzo chake, mimi huko kwenye ukweli ama uongo, sipo.

Nawaachia nyinyi ma-profeshenale mdadavue, mnyambue, na kuchanganua ukweli ama uongo wake. Nimemaliza.
 

Ukimpata mwanamume ambaye hatakudanganya hata kwa jambo jema (tena kwa usalama wako) basi uje nikupe zawadi....

Halafu hizo habari za mafiga manne umeziota wapi Preta?

Babu
 
Last edited by a moderator:
Honestly Preta, i know lotsa men who r ol dat in one!

Try again another list...
 
Last edited by a moderator:
hongera kwa kuwa na idadi hiyo ya vidume bila wao kujuana
 
Ukimpata mwanamume ambaye hatakudanganya hata kwa jambo jema (tena kwa usalama wako) basi uje nikupe zawadi....

Halafu hizo habari za mafiga manne umeziota wapi Preta?

Babu

ha ha....babu usinielewe vibaya.....nimeona na mimi nijaribu nione utamuwe.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…