Five easy ways to please your man

hiyo leave him alone,kwangu haiko aplicable,kubwa anaweza kuniuliza kinachonisibu ila sitaki maneno mengi zaidi ya kunimiminia wine na kuniscrach mabegani polepole.
zaidi napenda kuimbiwa yani hapo baasi stress zote kule
 

Habari za siku tele kaka, natumai una afya njema.

Tatizo ni structure ya nyumba tunazokaa jamani, nikiwa namuhitaji atajua tukiwa kitandani haya mambo ya kujisexisha na mnaishi dabo rum na mnawatoto haiwezekani kwa kweli au wewe Kaka yangu watu8 unasemaje kuhusiana na hilo.
 
Last edited by a moderator:
Za masiku tele ni njema tu mdada, natumai nawe u bukheri wa afya...
Mmmh labda kwa ufupi tu best ni kwamba, ni muhimu kwa wadada/wanawake kuonesha ile chochoko ya kumuhitaji mwanaume/mume/mpenzi kabla ya wao kuanzwa.
Haijalishi ni aiana gani ya mazingira waliyopo, maana binafsi ninaamini viashiria ni muhimu na huamsha hamasa na hilo la mazingira can be sorted anyhow...
Wengi wenu huwa ni mabubu, na ni nadra kwetu sisi wanaume kutambua ni wakati gani huwa mnakuwa kwenye joto hadi pale tunapowaanza.
Hata mboga iliyokosa vikorombwezo huwa hainogi jamani!!!

 

Hapo kwenye red ni kweli kabisa usiposema au kuonyesha kumuhitaji mwenzi wako hutaambulia chochote, kwa ambayo hawafanyi hivyo please try and you will never regret.
 
mwenzenu mimi nahitaji maombi kwenye hilo la kwanza, lol!
yaani nimuone yupo stressed au down halafu eti nim-leave alone? mpaka aniambie kinachomsibu ndo nitam-leave alone aendelee kutafakari.
sijui ni ugonjwa!

When we're stressed, we want to be alone.

Kuna usemi kuwa when your man is stressed out, it is your time to go shopping. This is true kwa wengi.

Tofauti na nyie, when you are stressed, you him to be close to you, to just listen to you (without giving solutions).

Don't forget that men are from Mars, Women are from Venus.
 
inawezekana natumia theory ambayo ina-work kwangu kwa hao viumbe wengine.
naona kama sitendi haki anapojiuliza mwenyewe maswali.
huwa napenda aniambie na hapo nampa maneno machache sana ya kumtia moyo na kuona kitu anachokiwaza hakistahili kupewa nafasi kubwa kiivyo...... then namwacha aendelee kufikiria
 
Reactions: EMT
its all about ku care
mi ndo ninachoamini shem....
naona kama simtendei haki kumwacha anateseka wakati sijui ni kitu gani kinamtesa.
huwa napenda nijue ili angalau niweze kumtia moyo. na akishaniambia tu nitajitahidi kumfanya aone kile kitu ni kitu kidogo sana ili asiendelee kuumia.....
kiukweli kwa upande wetu imefanya kazi.... huwa anakiri kabisa kuwa mara nyingi anapopatwa na kitu kama sipo huwa inamchukua muda mrefu sana ku-let it go kuliko nikiwepo na akiniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…