Desteo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 494
- 123
Wakati tunakua tuliaminishwa kuwa fisi ni mnyama mwoga sana! Akiona mtu hukimbia, tena huharisha kama chokaa kwa kuwa hula sana mifupa. Kadiri siku zinavyokwenda na matukio tunayoona na kusikia ni wazi kuwa fisi sio mwoga tena. Fisi anamkimbiza chui?! Fisi huyu huyu anampora chui/ simba windo lake. Fisi huyu huyu anavamia makazi ya watu, anajeruhi na kuua. Bado fisi ni mwoga? Tujadili