Wewe mkali wa correlation!!!!!
..usitarijie kukuta hata mfupa
Umenikumbusha ya Acacia,,,..usitarijie kukuta hata mfupa
asee unatafuta vita!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu sio mbwa mwitu?Tuliambiwa kwenye moja ya uzi uliokuwa unaelezea facts za fisi eti akila huwa hajisambazi damu mdomoni na endapo akijisambaza wenzake watamla
Yule jamaa alitupiga fix kweli
Huyu atakua mix ujana na uzeehuyu huwa ni mzee au kijana?hili swala tangu nimeulizwa sijawai jibiwa kama una number zake naomba unipe nimuulize
kwahiyo nae ni makinikia maana mule naskia gold sijui point ngapi mara silver basi hatari hiiHuyu atakua mix ujana na uzee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]kwahiyo nae ni makinikia maana mule naskia gold sijui point ngapi mara silver basi hatari hii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu una utani na CCM?