CCM Wanatudanganya tu, wakiwa nje ya pazia wanazungumza mengi sana Lakini wakiwa nyuma ya pazia wanakunywa kahawa na mafisadi.Mbona mafisadi waliotajwa hajapewa barua za kuondoshwa uongozini? Kama sio danganya toto ni nini?Kwa maana nyingine nchi hii viongozi wake ni waongo,kiasi wakiwa juu majukwaa wanazungumza mengi sana,na akitoka hapo ukimuuliza amesema nini wala hakumbuki!Hizi ndizo siasa za nchi yetu Tz.