Madogo mnanikumbusha mbali sana, as naripot campus mzumben baada ya kupata boom tu nakapandisha kwa baunsa bar maarufu mzumben nikala bia na wanangu mpaka asubuh, na kesho tukaendeleza ratiba hadi boom likakata ndo nikaanza kusoma sasa kwa hela za mzee,,, hela ya boom ina kama mapepo maana ni bia tu mpaka mwenye bar anatufukuza ili afunge baa yake saa 10 za usiku