First year mzumbe(2012>213) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

First year mzumbe(2012>213)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sage B, Sep 26, 2012.

 1. S

  Sage B Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utakua unajiuliza maswali mengi,mkopo wangu ni asilimia ngapi?,napaswa kujilipia ada asilimia ngapi? Deadline ya payment ni 30sept,sasa nitalipaje.
  UNATAKIWA ULIPE KILA KI2 ISIPOKUA ADA TU,HII UTALIPA PINDI UKIFIKA CHUO CAUSE PANA BENL YA CRDB,HATA KAMA TARE 30,ITAKUA IMEPITA HAKITAHARIBIKA KI2,MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA KWENYE JOINING INAYOISHIA NA 3
   
 2. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Asante kwa taarifa tutakuja mkuu
   
 3. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kwa taarifa
   
Loading...