SPSS
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 711
- 388
Habari zenu wakuu
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,nakumbuka ilikua mwaka 2005 nikiwa form 2,hua inafahamika form 2 vijana wengi wakike nakiume wanakua wanachangamka,,mwenye kuvuta bangi,kuanza kutongoza wasichana na tabia nyingne kedekede,basi kipind icho i had the same experience nikawa kijana mtanashat na aka kasura mepewa na mama mambo yalikua c haba niliwavuna vuna mabinti.
Nakumbuka siku moja tulikua kwenye pikipiki nikiwa na mtt wa baba angu mkubwa njian macho yangu yalitua kwa binti mmoja walah ni mzuri,,alikua shombe shombe aliitwa nasra,,she was extremely beautiful,sina haja yakutaja kila kiungo itoshe kusema she was the complete package hakuna kitu alinyimwa na Mungu.
Kwa sababu nilikua najiona kidume sikupata shida kuwaza kumwaga mistari nikiamin atanielewa tu,jion yake nikarud ile mitaa kuja kujaribu bahat yangu,nakweli kuna binti namfaham akaenda kuniitia nikazunguka nyuma ya nyumba binti akaja,kabla sijasema llte nikaambiwa unasemaje?,,najishauri pakuanzia nikaona vumbi tu binti keshasepa.
Niseme wazi ingawa sikua nna uzoefu kwenye kutongoza ila siku ile nilihisi nyumba imeniangukia i was down to earth, and from that day onwards sikua naweza kula nilikua najilazimisha na naishia kula kidgo mno,,,naweza nikakaa nimeshangaa kama zuzu namuwaza nasra nimfanyaje anikubali na worse enough vijana wa mtaa mzima walijua uwepo wa nasra so kila mmoja alifanya chake il nasra amuelewe,,in a strange way nasra siku moja alikua kwetu (nilikua naish kwa baba mkubwa) akaniambia amekubali kua mpenz wangu na she is ready to do anythng,sina haja yakusema furaha kiasi gani niliipata kuanzia kwenye kucha mpaka nywele,,nikawa nauza nae sura kwamba m ndo kidume wa mtaa.
Kituko:
siku tumepanga tukafanye mchezo wakikubwa tukaenda kwenye gheto la baba angu mdogo apo njia nzima nawaza naenda kumfunua nasra,,,hahahaha alipotokea baba angu mkubwa sijajua nilistukia nimekula makofi yamaana nimeanza lini uhuni nasra anashangaa asijue akimbie au abaki,nkaondoka kama nimefiwa kwa bahati nzuri tukapata gheto la mshikaj mwngne tukaingia fresh, kitanda kimeloa(sijajua jamaa alikua anakojoa kitandan or what) tukaishia kukiss na kuondoka.mpaka apa naandika sina hakika kama nimemsamehe baba mkubwa yule kwa kitendo alichonifanyia nikakosa tunda la msichana niliempenda mpaka nikakaribia kua chiz.
That was my story of first time i realized i was in deep love,,I never felt something even close to that ever since