B big IQ JF-Expert Member Joined Dec 16, 2012 Posts 494 Reaction score 903 Jan 18, 2013 #1 Ivi wadau maana ya first love ambayo inaxumbua sana kina dada ni nini ni yule wa kwnza kummenya au yule wa kwanza kumpenda?
Ivi wadau maana ya first love ambayo inaxumbua sana kina dada ni nini ni yule wa kwnza kummenya au yule wa kwanza kumpenda?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Jan 18, 2013 #2 Yule wa kwanza kumuhonga gari.......
sun wu JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 2,020 Reaction score 1,432 Jan 18, 2013 #3 big IQ said: Ivi wadau maana ya first love ambayo inaxumbua sana kina dada ni nini ni yule wa kwnza kummenya au yule wa kwanza kumpenda? Click to expand... Mkuu jibu lako lipo kwenye statement yako Love means upendo/kupenda ; First means Kwanza.., hivyo first love si ni wa kwanza kumpenda.., hiyo nyingine inaitwa first kummenya (if there is ever such a thing)
big IQ said: Ivi wadau maana ya first love ambayo inaxumbua sana kina dada ni nini ni yule wa kwnza kummenya au yule wa kwanza kumpenda? Click to expand... Mkuu jibu lako lipo kwenye statement yako Love means upendo/kupenda ; First means Kwanza.., hivyo first love si ni wa kwanza kumpenda.., hiyo nyingine inaitwa first kummenya (if there is ever such a thing)
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,609 Jan 18, 2013 #4 Hahahahahahaha Preta una vituko sana! Karibu juice! Preta said: Yule wa kwanza kumuhonga gari....... Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hahahahahahaha Preta una vituko sana! Karibu juice! Preta said: Yule wa kwanza kumuhonga gari....... Click to expand...