Jaribuni kuelewa, alivyoanza nae mahusiano hakuwa hivyo. Alikuwa kwenye arobaini na kitu hivi, ingawa Macron alikuwa kijana mdogo sana lakini huyo mnae muona bibi alikuwa bado ni mwenye mvuto na mrembo kama JLO kwa sasa.
Hata kama ni kuoa bibi si kwa umri huo... marcon amevuka viwango.
Lazima atakuwa anachepuka huyu.. hamana jinsi..
Kwanza unalalaje nae kitandan na hiyo sura?