Obama hapa amewapa dongo Republicans ambalo nina uhakika watalitumia katika ads zao za uchaguzi wa senators 2010 na hata katika uchaguzi wa 2012. Wataquantify total amount ya taxpayers money ambayo Obama aliitumia katika hiyo date na first lady huku 'uchumi wa nchi ukiwa katika hali mbaya' na wananchi wengi hawana kazi na wamepoteza nyumba zao.