Daah post nyingine jamani... Huyu jamaa utadhani ametoka kufufuka..... duuh huu ni ushuzi uliochanganyika na uharo na kipolo cha chai...:tape:nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.
Duh kuna kaukwel ndani yake
Mdau nikusahihishe tu kuwa SUA kuna kozi za arts hata wa HKL,HGL wanasoma,-JF imeingiliwa jamani, toka umejifunza ku log in imekua shida, nani kakuambia C ya udom inaanzia 35? au unatafuta umaarufu humu jamvini? UNCONTROLED MIND NEVER CONQUER!
-Inamaana SUA hata education(chemistry/maths,geography/maths etc), Bsc hortculture, wanapasua wanyama? dogo SUA naiheshimu sana sitaki niamini kama inaweza kuzalisha mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe.
-wewe ni miongoni mwa wajinga wanaofurahia shule yao kuongoza lakini yeye ana division 5.
-SUA ni chuo cha kilimo, bahati mbaya siku hizi watu hawataki kulima wanakimbilia mjini,(kama hujui mjini huendi na jembe unaenda na CV)
-SUA ni chuo cha sayansi, it means wanaoenda pale A-level walisoma either PCM, PCB,CBG,CBN,CBA & EGM, In that case ni sawa na watu wanaosoma COLLEGE OF INFORMATICS,( Engineering courses), COLLEGE OF HEALTH & ALLIED SCIENCES, COLLEGE OF EARTH SCIENCES,(Geology, petrolleum, mining etc), COLLEGE OF NATURAL & MATHEMATICAL SCIENCE,( Bsc maths, Bsc physics, Bsc chemistry etc), Hebu jaribu kuwauliza watu wanaosoma college hizo hapo juu usikie wanakuambiaje, sio unakurupuka tu.
-LAST,
-tetea GPA yako usitetee chuo
"LET US NOT SEEK TO SATISFY OUR THIRSTY FOR FREEDOM BY DRINKING FROM THE CUP OF BITTERNESS AND HATRED."
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.
first class ya UDOM,UDSM unadisco kabisa tena mwaka wa kwanza

Daah post nyingine jamani... Huyu jamaa utadhani ametoka kufufuka..... duuh huu ni ushuzi uliochanganyika na uharo na kipolo cha chai...:tape: